▪️ Genre: Sci-fi, Horror
▪️ Date: 2017
▪️ Rate: 7.1/10 (IMDb), 80% (Rotten Tomatoes)
▪️ Origin: USA
▪️ Time: 1h 59m
SHORT STORY
Katika siku za machafuko na utafiti wa anga za mbali, kundi la vijana wakoloni waanga wanapokea mwito wenye signals za dharura kutoka kituo cha anga kilichoachwa...
Ukienda pale Senegal, kuna UFO ipo pale, alien walikuja nayo na kuiacha, hawajulikani walikwenda wapi.
Alien hapa duniani wanatua popote pale si Marekani tu ila tatizo letu sisi, tukiwaona aliens tunasema ni majini, tunaanza kukemea na kusoma dua.
Tatizo lipo hapo tu. Leo ukikutana na alien...
Hapa duniani kuna madudu ya ajabu sana, tena sana, kuna maviumbe ambayo ukiyaona kwa mara ya kwanza utasema labda unaishi kwenye karne ya pili huko. Ili kwanza uyajue hayo yote, ndugu yangu jitahidi sana kutafuta maarifa.
Unajua sisi Waafrika tunashindwa sehemu ndogo sana, tunashikilia sana...
It geting crazy
Kwa mara ya kwanza kinachosemekana ni ALIEN ameonyeahwa kwa kamati ya bunge huko nchini Mexico. Am so excited, what a time, hapa bado mu USA aka baba lao aje na yeye kusema vyakee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.