aliko dangote

Aliko Dangote GCON (born 10 April 1957) is a Nigerian billionaire business magnate. He is the wealthiest person in Africa, with an estimated net worth of US$11.1 billion (May 2021).

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Aliko Dangote ajutia kutoinunua Arsenal iliyokuwa inathamani ya dola bilioni 2, sasa ni dola bilioni 4

    Mfanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika, Aliko Dangote, amekiri kuwa anajutia kutokununua klabu ya Arsenal ambaye ni shabiki mkubwa wa Klabu hiyo kipindi ambacho thamani yake sokoni ilikuwa ni dola bilioni 2 tofauti na sasa ni $4 bilioni. Dangote alifichua kuwa alikuwa na nafasi kubwa ya...
  2. W

    Dangote arejea nafasi ya mtu tajiri zaidi barani Afrika

    Mfanyabiashara tajiri kutoka Nigeria, Aliko Dangote (66), amerejea kushika nafasi ya kwanza kama mtu tajiri zaidi barani Afrika, kwa mujibu wa Orodha ya Mabilionea ya Bloomberg ya tarehe 7 Septemba 2024, akiwa na utajiri wa thamani ya Tsh trilioni 36.4. Wiki kadhaa zilizopita, Rupert alikuwa...
  3. Mi mi

    Anachofanyiwa Dangote na Serikali ya Nigeria kinanipa wasiwasi na utimamu wa akili zetu

    Anachofanyiwa Dangote na serikali ya Nigeria na viongozi wake ni masikitiko. Napata mashaka juu ya utimamu wa akili zetu. Baada ya kutokea mkombozi wa kiteknolojia [Huawei] China serikali ya China ilisimama na Huawei na kuhakikisha kwa namna yoyote Huawei inasimama hata pale ilipopata tishio la...
  4. ChoiceVariable

    Nigeria: Aliko Dangote atangaza nia ya kuuza Kiwanda chake cha Mafuta. Adai kuna watu hawajapendezwa

    Baada ya msululu wa vikwazo kutoka Maofisa wa Nchi yake kupamba moto kisa kujenga kiwanda Cha Mafuta,Dangote anaelekea kusalimu amri na kubwaga Manyanga. Bwana Dangote anadai aliamua kujenga kiwanda kikubwa Cha Mafuta Afrika Ili kuisaisia Nchi yake ila Kuna watu hawajapendezwa nae ambapo...
  5. ChoiceVariable

    Dangote aeleza alivyonyimwa Mafuta na Nchi yake Nigeria. Hata alipotaka kuagiza ya nje alinyimwa kibali

    Bwana Dangote Tajiri Mkubwa Afrika ameeleza Kwa uchungu namna Mtu mweusi ana roho mbaya ya kuthamini vitu vya mweupe lakini sio vitu vya kwao weusi. Vikwazo alivyokutana navyo bwana Dangote ni uthibitisho wa akili za hovyo za mtu mweusi.Haya hapa Tanzania awamu Ile iliyopita kulibakia kidogo...
  6. D

    Aliko Dangote, Africa’s richest man says he doesn’t own a home outside Nigeria

    Aliko Dangote Africa’s richest man, Aliko Dangote, has shocked many Nigerians after saying he doesn't own a house outside the country. Mr Dangote said he had two houses - in his home town of Kano, and Lagos - and lived in a rented apartment whenever he visits the capital, Abuja. He was listed...
  7. D

    Tajiri namba moja wa Afrika, Aliko Dangote ni wa 191 duniani kwa utajiri

    Sasa kama Dangote anaweza kuwa namba 191 duniani kwa utajiri wakati ndio namba moja Afrika, huyo tajiri namba moja duniani si anaweza kununua Afrika yote akiamua?
  8. B

    TPA na kampuni ya Dangote waingia makubaliano ya kibiashara kupitia bandari ya Mtwara

    Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA) Leo Jumatano Machi 16, 2022 imeingia makubaliano ya kibiashara na kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mkoani Mtwara yenye lengo la kurahisisha usafirishaji wa Saruji kwa kutumia bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo Yanawezesha kampuni ya...
  9. Analogia Malenga

    Vijana wamshinikiza bilionea Aliko Dangote kuwania urais Nigeria

    Kundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika Aliko Dangote, viongozi wengine wa wafanyabiashara na wataalamu kuingilia kati uchaguzi wa rais wa 2023. Vijana hao wanasema kuwa uzoefu wao itasaidia kuleta...
  10. U

    Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo mfanyabiashara Alhaj Aliko Dangote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara maarufu kutokea Nigeria Alhaji Aliko Dangote Mazungumzo hayo muhimu yalifanyika leo Mei 24, 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam Alhaji Dangote ni mfanyabiashara mkubwa...
Back
Top Bottom