alikosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    Huenda Elly Mpanzu alikosa timu Ulaya kwa kudanganya umri?

    Huku Africa mpaka leo kuna watu bado wanazaliwa nyumbani,Africa nchi nyingi hazina database ya raia wake. Elly Mpanzu kuwa na miaka 22 !!!!. Mpanzu kama kazaliwa 2002 mimi nilishamaliza form six, lakini leo hii naonekana kijana kuliko yeye. Wazungu wana kipimo cha umri, si ajabu kilisoma 32...
  2. Majok majok

    Kutolewa kwa kanuni ndiyo imekuwa wimbo kwa Simba sasa wamesahau Yanga pia alikosa kubeba ubingwa wa shirikisho kikanuni pia!

    Wanapost sana kwenye mitandao yao na kujisifu kuwa wametolewa kikanuni but Yanga ilipoondolewa kikanuni pia walibeza sana Leo hii kanuni ndio IMEKUWA kichaka Chao Cha kuficha madhaifu yao! Kufuzu makundi klabu bingwa kanuni iyo iyo ndio iliyowabeba na kuwanusuru wasitupwe nje ya michuano dhidi...
  3. J

    Kwanini Hayati Magufuli alikosa ujasiri kama wa Museveni kipindi kile Makonda anapambana na mashoga?

    Kama tunavyokumbuka awamu ya 5, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda alianzisha vita kali dhidi ya ushoga. Baada ya muda kidogo vyombo mbalimbali habari nje ya nchi vikaripoti kuwa mashoga hawako salama Tanzania. Serikali ya Magufuli kupitia waziri wake wa mambo ya nje wakasema mashoga...
  4. February Makamba

    Hivi Mungu alikosa njia nyingine ya kufikisha ujumbe tofauti na Vitabu?

    Venezuela! Mungu anatumia vitabu/maandishi kufikisha ujumbe wake, iwe kupitia biblia au Quran. Tatizo la hii njia ni kuwa inategemea utafsiri/enterpretation ya binadamu. Tatizo la binadamu ni kuwa tunatofautiana uelewa na uwezo wa kutafsiri. Unaweza kuchukua wanazuoni wawili wote wenye elimu...
  5. figganigga

    Hivi Hayati Magufuli alikosaje akili ya kutengeneza kitu cha maana kama Royal Tour?

    Wakuu, Nimeshindwa kuelewa wanaomuona Mwenda zake Magufuli eti alikuwa Mbunifu. Ilikuaje akashindwa Kubuni na kutengeneza Vitu vya Maana kama Royal Tour? Rafiki yake Kagame alitengeneza yeye akawa anasema Matajiri nataka waishi kama Mashetani. Hivi kutengeneza Royal Tour kwa Manuu ya au...
  6. S

    Kama mke wa Pilato alikosa amani kiasi cha kumsihi mumewe asimuhukumu Yesu asie na hatia,iweje wanadamu wa leo hata nafsi haziwasuti?

    Hata Pilatio mwenyewe hakuona kosa la Yesu ila alitimiza matakwa ya waliotaka Yesu asulubiwe na akanawa mikono akasema na dhambi hiyo iwe juu yao(mstari wa 24). Kuhusu Mke wa Pilato, soma mstari wa 19 katika haya maandiko. Kisa kizima hiki hapa: 11 Yesu akapelekwa mbele ya gavana naye...
  7. Gerald .M Magembe

    Rais Samia muulize Bilionea Alhaj Aliko Dangote alitaka umpe nini ambacho hajapewa?

    Mpendwa Rais wangu umejitahidi sana kututoa hofu wa Tanzania kuwa unaweza na jinsia yako sio kitu cha kushindwa kuongoza jahazi na tumekubali na kukupokea kwa mikono miwili yawekana kabisa ukaja kuwa mkombozi wetu kwa nchi yetu. Naamini kwa muda mrefu taifa lilikosa mtu kama wewe na moderating...
Back
Top Bottom