Baadhi ya pipi za heroine zilizotolewa kwa njia ya haja kubwa na mtuhumiwa Mwasema Rashid baada ya kuwaambia ukweli Madaktari kuwa alikuwa akisafirisha dawa hizo kwa kuzimeza.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia Mwasema Rashid (37) Mkazi wa Tabata Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za...
Mtoto wa Mfalme Charles na hayati Princes Diana, Prince Harry anakiri katika kitabu chake kipya kuwa aliwahi kutumia dawa za kulevya aina ya Cocaine akiwa na umri wa miaka 17, lakini anasema "haikuwa ya kufurahisha sana".
Matukio hayo yanaonekana kuja baada ya babake, Mfalme Charles III...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.