aliyeadi kuporwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Dar: Aliyedai kuporwa Tsh. Milioni 60 aonesha alipozificha

    Deodatus Thadei Luhela, Mhasibu wa Kampuni ya ‘Your Home Choice’’ amekamatwa kwa kutoa taarifa za uongo akidai Majambazi walimjeruhi na kumpora fedha za Mwajiri wake. Mtuhumiwa alifungua kesi ya unyang'anyi kituo cha Polisi Chang’ombe, baada kubanwa kwa maswali ya Askari, aliwapeleka Chanika...
Back
Top Bottom