Wakuu,
Ni zaidi ya miezi miwili sasa toka Chaula achukuliwe na watu wasiyojulikana, ambapo baba mzazi ameiomba serikali kama inamshikilia mtoto wake basi watoe taarifa wanamshikilia kwa kosa gani na yuko gereza gani ili wawe na amani kuwa mtotobwao ni mzima na wafanye taratibu nyingine za...
Inadaiwa kuwa kijana aliyefungwa jela kwa kuchoma picha ya Rais Samia kisha wananchi wakachanga kumtoa amefariki dunia.
Kijana huyu amekuwa haonekani kwa siku nyingi sasa baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana.
Baada ya siku kadhaa tangu Mwananchi kuripoti kuhusiana na taarifa za kutoweka kijana, Shadrack Chaula (24) aliyetuhumiwa kuchoma picha ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamini Kuzaga amevunja ukimya.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana...
Kufuatia taarifa za kupotea katika mazingira yanayodaiwa ‘kutekwa’ kwa Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, baba mzazi wa kijana huyo, mzee Yusuph Sisala Chaula amesema anaomba ajulishwe tu mwanaye kama yu hai au la ili moyo wake uwe na amani.
Amesema “Unajua inaweza kufa roho...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeanza uchunguzi wa kubaini watu wasiojulikana wanaodaiwa kumteka Shadrack Chaula (24), mkazi wa Kijiji cha Ntokela wilayani Rungwe.
Chaula anadaiwa kutekwa na watu hao ikiwa ni takribani siku 20 zimepita tangu alipotoka Gereza la Ruanda Mkoa lililoko mkoani...
Kwamba hata yule kijana aliyekamatwa Rungwe kwa kosa la kuipiga kiberiti picha ya Rais Samia, hana kosa lolote na hata wakamataji hawajui wampachike kesi gani, maana kwa katiba ya Tanzania kitendo kile ni sawa na mtu kuokota makaratasi ili awashie mkaa kwenye jiko lake.
Inadaiwa kukamatwa kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.