aliyechoma picha ya rais mbeya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Shadrack Chaula, aliyechoma picha ya Rais Samia aachiwa kutoka Gerezani

    Hatimaye kijana Shadrack Yusuph Chaula (24) mkazi wa kijiji cha Ntokela kata ya Ndanto Tukuyu wilayani Rungwe, ameachiwa huru kutoka mikononi mwa jeshi la magereza baada ya kufanikiwa kulipa faini ya shilingi million tano kutokana na hatia aliyokutwa nayo ya udanganyifu juma lililopita. Kijana...
  2. Roving Journalist

    Baada ya alichechoma picha ya Rais Samia kuhukumiwa Miaka miwili Jela, Wakili asema wanafikiria kukata rufaa

    Kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni. Kusoma hukumu hiyo, bofya hapa ~...
Back
Top Bottom