Mtoto wa mwezi mmoja, Benitha Beneti ambaye alikuwa ameibwa nyumbani kwao Mtaa wa Migera, Kata ya Nshambya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera amepatikana akiwa hai mjini Dodoma baada ya kupotea takribani wiki moja.
Mtoto huyo aliibwa Desemba 01, 2022 akiwa amelala kitandani ndani ya nyumba baada...