Katika majukwaa ya kisiasa, ni kawaida kwa maneno na tuhuma mbalimbali kusambazwa, hasa pale ambapo viongozi wanaweka juhudi za kufanya mabadiliko muhimu katika taifa. Ujumbe uliotolewa dhidi ya Serikali ya Tanzania na Rais Samia Suluhu Hassan unapaswa kuchunguzwa kwa undani, siyo tu kwa...
Picha mtandao
Taaluma ya uandishi wa Habari, ni miongoni mwa taaluma inayozalisha wahitimu wengi katika vyuo mbalimbali hapa nchini Tanzania kila mwaka. Wahitimu hao wanakwenda kufanya kazi kwenye vyombo vya habari kama redio, televisheni, magazeti na vyombo vya habari vya mitandaoni.
Kazi...
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani.
Mnapiga na picha na kuzisambaza mitandaoni, wajuba wameona paja la mwanamke wako, sasa wanampigia mahesabu mwanamke wako...
Anatafuta Kupewa Umakini Kila Wakati:
Mtoto huyu anakuwa ni mwenye kutaka sifa au kutambulika kwenye kila kitu hata vitu vidogo
Kuwa na Hasira za Haraka:
Mtoto anatumia hisia za Hasira katika kuonesha vile anavyojisikia ili tu apewe umakini kwenye mambo yake
Anakuwa Sio Mtulivu:
Mtoto...
Salam ziwafikie JF members.
Ni mwanamke aliyebarikiwa kupata watoto 5, wakike 2 na wakiume 3. Tuliishi katika Kijiji kimoja huko katika ardhi ya Mtemi Milambo mkoa unaosifika kwa zao la tumbaku. Rafiki yangu alikua ni mtu wa karibu sana na mama yangu mzazi. Aliachwa na mumewe Toka miaka ya 90...
Nasoro Duduma aliyepata Kura 448 amesema uchaguzi huo uligubikwa hila zilizofanywa na baadhi ya WanaCCM hali iliyosababisha wajumbe kubadilika ghafla na kumchagua Joseph Masunga kwa Kura 621.
Amesema uchaguzi huo ulikuwa na vyombo vikubwa vya uangalizi hivyo anaamini hila zote zilizofanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.