aliyesoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ajira kwa aliyesoma Sociology, Psychology, Social Work na Special Needs education

    Ajira kwa aliyesoma Sociology nafasi 1, Psychology nafasi 1, Social Work nafasi 1, na Special Needs education nafasi 1 Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam. sifa Awe mkazi wa Dar es Salaam. Elimu yoyote, cheti, diploma au degree. Jinsi ya kuomba: Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba...
  2. Mtu aliyesoma akaelimika akakombolewa kifikra hawezi Kutoa au kutolewa Mahari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elimu Kazi yake kûbwa ni kumkomboa Mtu ndiye Mwanamke na Mwanaume kifikra. Haiwezeniki Mtu kafika chuo Kikuu, amesoma degree au katika chuo cha Kati akasoma stashahada akaibusti Akili Yake Akaelimika alafu Wakati wa kuchumbia au Kuoa au kuolewa akakubali Kutoa...
  3. Aliyesoma mchepuo wa HGL anaweza kusoma Bachelor of Commerce in Human Resource Management UDSM?

    Wakuu, Najua kuna watu wamewahi kusoma Bachelor of Commerce in Human Resource Management UDSM. Hivi mtu aliyesoma mchepuo wa HGL anaweza kusoma hiyo kozi UDSM.
  4. TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
  5. TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike kilichotokea Afrika Kusini

    🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦 Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati....... Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike...... Mike Tanzania anatokea kinondoni...... Ndugu watanzania mike aliamisha makazi yake kutoka Tanzania na kuelekea...
  6. F

    INDIA INSTITUTES OF TECHNLOGY: Kuna Mtanzania yeyote aliyesoma India anasoma vyuo vinavyosifiwa duniani?

    Habari wadau. Nazani wote tunajua kwamba kuna wimbi kubwa la wa Tanzania kupeleka watoto kusoma india. Nimegundua wahindi wengi wenye big position na matajiri ni alumni wa India institutes of technology kwa kifupi IIT Nimejiuliza watoto wetu wa ki Tanzania waliojaa wanasoma india. Je na wapo...
  7. Je, ni kweli mtu mwenye uwezo wa darasani (aliyesoma) anauwezo wa kupambana mtaani hadi kumzidi ambaye hakusoma?

    Ndugu yangu mmoja baada ya kukimbiza sana pale Mwanza buhongwa kwa biashara ya mbao. Kaamua kuingia zake dsm kariakoo na biashara mpya Sasa hivi anaenda china, hakusoma aliacha Shule darasa la saba. Tuseme ukweli kufungua biashara na kuisimamia Kunataka u-smart gani kuliko yule aliyeweza kusoma...
  8. Katika hizi Ajira Mpya za ualimu TAMISEMI Mtu aliyesoma masomo ya arts tofauti na kingereza hizi nafasi hazimuhusu?

    Nimesoma PDF ya Tamisemi nimeona watu wa arts wamepigwa k.O Na K.T.O Sasa hii imekaaje naona English ndo wamepewa nafasi tu.
  9. Aliyesoma diploma ya IT au computer science, Je! aweza kusoma degree ya telecommunication?

    Okay marafiki wa JF....... naomba kujuzwa kuhusu swala hili kama inawezekana kusomea degree ya telecommunication kutokea deploma tajwa!
  10. Mtangazaji wa Sibuka Radio aliyesoma Vichwa vya Habari leo arudi tena Darasani anatia 'Kichefuchefu' Kumsikiliza

    Tafadhali Mzee wangu na Mmiliki wa Sibuka Media Dk. Nangale na Mkeo Doreen Nyange ( Boss Mwandamizi Sibuka Media ) mmekumbwa na nini Siku hizi hadi mnaajiri Watangazi wa hovyo hovyo na wanaotia Kichefuchefu kuwasikiliza kama huyu wa leo? Nawaombeni hebu rejeeni Kukagua Academic Credentials za...
  11. Ni haki kwa aliyesoma shule za kata kupewa mkopo kiasi hiki?

    Hebu fikiria vijana kama Hawa wengine hawana Wazazi, wamesoma shule za kata since primary na bado Ada ni 1.3milion mpaka 2.5milioni lakini bodi inampa asilimia 49 tu kwa mwaka mtoto akafie mbele, je wadau wa elimu wako wapi, viongoz wako wapi?
  12. Natafuta mtu Aliyesoma Marketing katika Tourism

    Hello, Natafuta mtu mwenye uzoefu wa kufanya marketing katika sekta ya Utalii!! position based in Arusha! Uaminifu katika kazi uwe wa kiwango cha juu!! Njoo inbox
  13. Natafuta mtu aliyesoma Computer Science

    Kama kichwa Cha habari kisemavyo Kuna projects nafanya inahusika na biological database, natafuta mtu aliyesoma computer science na anakaa Dar asiwe na kazi sababu mda mwingi atakua kwenye hii project Vigezo Awe amemaliza chuo mwaka jana Awe na uwezo wa kufanya presentation bila uoga au...
  14. Aliyepata elimu ya msingi na sekondari katika shule za serikali hajui chochote zaidi ya kukariri majibu kwaajili ya mitihani ya taifa

    Habari! Hii mada imeshushwa kama ina kakejeli ndani yake ila ndio ukweli. Ukiondoa shule chache za msingi za serikali ambazo kidogo zina afadhali kama Diamond primary school and like. Ukuondoa sekondari zile za vipaji vya juu na kati tulizosoma zamani ambazo mnakutana wanafunzi kutoka kona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…