alizaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshangazi dot com

    Leo katika historia, alizaliwa mkongwe Bob Marley

    Bob Marley alizaliwa tarehe 6 Februari 1945 huko Nine Mile, Saint Ann Parish, Jamaika. Jina lake halisi lilikuwa Robert Nesta Marley. Alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mpigaji gitaa maarufu wa muziki wa reggae. Katika miaka ya 1970, Bob Marley alikuza umaarufu wake kimataifa kwa nyimbo...
  2. chiembe

    TBC wanaandika Jenerali Musuguri alizaliwa 1920, Mkuu wa Majeshi ameandika katika taarifa rasmi, kwamba Musuguri alizaliwa 1925. TBC mjirekebishe

    Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption imeandikwa Kigoma. Anyway, kwa tuliosoma Kyuba, pale palipoandikwa marehemu "ameacha familia"...
  3. F

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa

    Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
  4. Teslarati

    Amefanya mapenzi na mwanamke wa ndoto yake kisha akagundua mwanamke huyo alizaliwa na VVU, je yuko salama?

    Alianza kumfuatilia mrembo huyo miezi kwa miezi kadhaa bila mafanikio, mtoto kaumbika, rangi ya mtume. Binti huyo alimaliza chuo mwaka juzi na kaajiriwa dar kwenye kampuni moja kubwa tu. Alikua na mtoto mmoja aliemzaa mara tu baada ya kumaliza chuo Mwezi uliopita jamaa ndipo alipewa tunda mara...
  5. Kijana LOGICS

    Kama una miaka 25 Wewe ni kijana mzee kama Una miaka 26 Wewe ni mzee kijana

    Nawakumbusha tu ukifika miaka 25 unakuwa kijana mzeee. Ukiwa na miaka 26 Wewe ni mzee kijana so changa karata ZAKO MAPEMA ukiwa na nguvu. Kama Una miaka 40+ Anza kufanya mazoezi kuwa na tabia ya kucheck sukari, pressure n.k.
  6. T

    Tuhuma za wizi wa Hayati Magufuli haziniumizi, kinachoniumiza kwanini alizaliwa kwenye nchi hii?

    Ndiyo, Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii ndio hao walionipa kutaka nijue ni kivipi JPM azaliwe katikati yao? Na iliwezekanaje yeye JPM akubali kuzaliwa katika nchi hii ngumu ukilinganisha na aliyoifanyia hii nchi, badala yake, kwa...
  7. L

    Julai 5, 1996: Kondoo wa kwanza aliyeumbwa kwa njia ya kurudufu (Clone) duniani alizaliwa

    Dolly ni kondoo jike aliyeumbwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kurudufu (Clone) na Taasisi ya Utafiti ya Roslin ya Scotland na Kampuni ya teknolojia ya viumbe ya PPL Therapeutics. Kuzaliwa kwa Dolly kumeweka msingi wa maendeleo ya teknolojia ya viumbe vya kurudufu (Clone), na kuibua mawazo...
  8. Komeo Lachuma

    Jamaa yangu ameomba mchango wa kufanya birthday party

    Imajini watu tunagongea hadi vocha za simu halafu kuna bwege mmoja anafanya kazi na kujiita mwanasheria halafu anatuma msg anataka mchango wa birthday yake mwezi ujao. Huyu jamaa ni hasara taslimu. Yaani kuzaliwa kwake yeye iwe kero kwa wengine? Na mimi toka azaliwe sijaona faida yake kwangu...
  9. Sky Eclat

    Siku kama ya leo 2, November 1755 alizaliwa Marie Antoinette Malkia wa mwisho wa Ufaransa

    Alizaliwa Vienna Austria na alikuja kuwa Malkia wa Ufaransa. Watu walipokusanyika kwa Mfalme kulalamika maisha ni magumu hawana hata mkate wa kula (mkate ni chakula kikuu sehemu nyingi za dunia). Aliwaambia kama hawana mkate waoke keki. Kauli hii iliamsha hasira zilizozaa Mapinduzi ya Ufaransa.
  10. N

    Samia aliandikiwa kuwa Rais wa Tanzania hata kabla hajazaliwa

    Mambo ya Mungu huwa ni makuu sana, nawaambieni enyi watanzania, kuna watu walibarikiwa tangu wakiwa Tumboni mwa mama zao Samia Suluhu ni mfano hai tulionao mpaka sasa achilia mbali manabii wa zamani waliochaguliwa angali bado wapo tumboni, Samia suluhu hakuwai kuwa mwanaharakati wala...
Back
Top Bottom