Awali ya yote nawashukuru JamiiForums kwa kutoa fursa hii ya kuwasilisha mawazo kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu hususani kwa sisi vijana, ambapo tunapata nafasi ya kuwasilisha mawazo yetu. Si kila takataka ni takataka.
Tunawezaje kujua hili, ni kwa kutenga takataka wakati wa ukusanyaji...