Lil durk ameripotiwa kumliapa j cole kiasi cha USD 978k, kwa Tanzania sawa Na shilling, 2,316, 882, 000 baada ya kumshirikisha kwenye ngoma yake ya "All my life".
J cole katika wimbo huo verse yake ina maneno 489
J cole ana charge USD 2k kwa Kila neno ataloweka kwenye feature(wimbo wako)...