Ukienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa.
Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B nyingi unakuta zimechoka kwelikweli.
Shida nini?
Habari wanajamvi!
Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana.
Kwakuwa hili tatizo sijawahi kuona likijadiliwa hapa JF nikaona sio mbaya kushare nanyi...
Habari zenyu kwema?
Bwana mwaka huu mama watoto wangu ametokwa na michirizi baada ya kutumia losheni ambayo alikua hatumii mwanzo, inaitwa sitii sijui baada ya kutumia hajamaliza hata wiki 2.
Wiki moja haijapita zikamtoa michirizi kidogo akaacha kabisa kupaka, sasa ajabu inakua inamuwasha na...
Jamanii, mwenzenu nina naelekea kumaliza mwaka sasa nasumbuliwa na Mafua MAZITO hadi yanaziba pua!
Hospital naambiwa ni Allergy nijaribu kugundua kinachonikataa yaani nimeshindwa kujua kabsaa, usiku nalala nimekenua napumua kwa mdomo maana pua zinaziba, na yanatoka makamasi MAZITO.
Nimetumiwa...
Hello everyone heri ya msimu wa sikukuu.
Jamani naomba majibu na mjadala wa kina kwanini sehemu za biashara ya kitimoto ni chafu na kiasi cha kupofusha macho ya kinyaa kwa wateja?
Ni hayo tu
Wadiz
Karibu tujadili hili, hivi inawezekana kama ambavyo kuna watu wana aleji na nyama, wali, panadol etc Je kuna uwezekano kuna kundi fulani la watu kwao mahusiano ya kimapenzi huwa chanzo cha maanguko ktk kazi, biashara n.k?
Yaani wasipojihusisha na mapenzi wanafanikiwa? Lakini wakijihusisha tu...
Niliwahi kuwa nawashwa sana masikio kwa ndani, nilijaribu sana kwenda hospitali nikatumia dawa zikawa zinatuliza ila sikujua kuwa kuna kitu ninachokula karibia kila siku ndio kinacho tengeneza sumu kwenye damu kiasi kwamba nikila Karanga, Tangawizi, Parachichi… nasikia masikio yana washa sana...
Mwanangu ana allergy ya milk fomula yenye maziwa ya ngombe skimmed cow milk na soy milk formula wadau natumia maziwa gani?. Au anaweza kushinda na vyakula mpaka Mama yake aje anyonyeshe saa 10 jion maana Mama yake anaondoka asbh sana.
Umri miezi 9.
Mzio au aleji (allergy) ni matokeo ya mpambano uliopitiliza kati ya kinga ya mwili na kitu chochote (ambacho kwa ujumla huwa hakina madhara kwa mwili) inapotokea kimeingia ndani ya mwili au kimegusa sehemu fulani ya mwili.
Aleji husababishwa na nini?
Kuwa na mzio ni jambo la kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.