"Kama kuna jambo linauma basi ni kuteketeza karo shuleni kumsomesha mwanao kisha wajanja wachache watumie nafasi hiyo hiyo ya usomi wake kukutapeli kama mzazi kwa kigezo cha kumpatia ajira"
Nikiwa njiani kuelekea mjini kwenye miangaiko pembeni yangu (kwenye daladala) kaketi dada mmoja...