alluminium

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Weka alluminium nyumbani kwako

    Nawasalimu kwajina lamuungano Unataka alluminium & vioo..? Hapa umepata Njoo nikupendezeshee nyumba yako kwagarama nafuu kabisa NATENGENEZA _madirisha _milango _partition za maoficini _partition za maduka ya dawa _makabati ya chips _kuweka vioo vya saloni N.k Napatikana Dar es Salaam ...
  2. Nahitaji alluminium Sheets.

    Habari za muda huu JF wadau wote, kama kichwa cha uzi kilivyo elekeza, nahitaji hiyo bidhaa tajwa, kwa mtu anaejua chimbo kwa kkoo au ni kiwandani anaweza kunichek katika namba hii 0653914963, size inayotakiwa ni mm 0.2
  3. Tatizo la gundi (tapes) katika madirisha ya alluminium

    Nilijenga nyumba ya shambani maeneo ya Mkuranga ambayo nikiwa naenda kufanya kilimo nafikia pale. Tatizo limetokea nilipoweka madirisha ya alluminium yalikuja na zile tapes za kuzuia yasichunike ambazo zina nembo ya kampuni iliyotengeneza. Nilipoyaweka fundi alishauri tusiyabandue mpaka siku ya...
  4. INAUZWA Tunauzwa vitu mbalimbali (Pazia, Chuma za Pazia, Net, Kava za Makochi, Mashuka nk)

    Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi? SALE SALE SALE Sofa la mmoja ni 30000 Sofa la wawili ni 44,000 Sofa la watatu ni 54,000 ●Tuma kochi zako WhatsApp 0713691101 upate ushauri na sample za cover zilizopo 1: Hazipauki wala kuchuja...
  5. INAUZWA Nauza mlango wa allumnnium na meza ya alluminium

    Location:Dar es salaam Contact : 0710999771 Meza 250,000 Mlango 250,000 Angalizo mlango sehemu ya kioo kimoja kinacra
  6. Mwenye uweleewa wa biashara ya alluminium Windows na frame

    Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye uchu wa maendeleo,ninapatikana Dar es salaam nataka nifungue office ya kutengeneza alluminium,Mm si fundi bali nataka kuajiri mafundi na niwalipe kulingana na kazi.Napenda kujua vifaa vinavyohitajika,mtaji wa kuanzia,upatikanaji wake,soko la...
  7. Tunatengeneza urembo wa mageti, fensi, madirisha, milango, balcon na vitanda

    Habari! Kwa mahitaji ya urembo wa mageti, madirisha, milango, balcon na vitanda usisite kutucheki tukuhudumie. Pia tunafanya kazi yeyote ya casting. Karibu bei zetu ni za kishindani na nafuu. Tupo Mbeya mjini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…