Inawezekana kabisa unapitia kipindi kigumu cha Kihisia, kijamii ,Kisiasa !!
Inawezekana kabisa katika kipindi hiki , mawazo mengi ,mashauri mengi yanakupata ,huenda unasukumwa Kuomba msamaha ?!!! Uombe wa Msamaha Kwa Kosa gani?.
Kwamba Wale wazee , ambao Sasa ndio wameshika Mpini ,unalazimika...