ally kessy

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Pre GE2025 Naunga mkono hoja ya Ally Keissy kuwa Rais Samia anamalizia Kipindi cha Magufuli, yeye Vipindi vyake ataanza Oktoba 2025

    Nimemsikiliza Mhe.Keissy, mbunge mstaafu, akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia kipindi cha Magufuli. Kwa hiyo yeye Samia anastahili vipindi viwili vya miaka kumi. Pia amesema kuwa yeye...
  2. Return Of Undertaker

    Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

    "Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM). Spika Ndugai ajibu hivi...
Back
Top Bottom