Nimemsikiliza Mhe.Keissy, mbunge mstaafu, akihojiwa na kipindi cha One on One cha Wasafii Media ameleta hoja mpya kuwa Rais Samia kwa sasa kipindi cha miaka minne na nusu atakuwa anamalizia kipindi cha Magufuli.
Kwa hiyo yeye Samia anastahili vipindi viwili vya miaka kumi.
Pia amesema kuwa yeye...
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Spika Ndugai ajibu hivi...