ally kibao atekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoa Taarifa

    Familia ya Mzee Ali Kibao yamwomba Rais Samia uchunguzi wa baba yao uwe na uwazi, yasema Polisi haina ushirikiano

  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Tukumbushane baadhi ya Matukio ambayo hufanywa na Wanasiasa Majimboni kuelekea Uchaguzi ili kuombea kura

    Kuna msemo wa Waswahili wanakwambia bora Ukosee njia lakini usikosee Kuoa ila binafsi naona hakuna kosa kubwa katika hii dunia kama kukosea katika kuchagua kiongozi bora ambaye atakuja kutatua changamoto katika Jamii. Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu na uchaguzi wa serikali za mitaa...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 John Mnyika: Rais Samia lazima aondolewe Madarakani Uchaguzi Mkuu ujao

    Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesisitiza kuwa ni lazima Rais Samia aondolewe madarakani katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mnyika anasema kuwa Rais ameshindwa kusikiliza sauti za wananchi na Jumuiya za Kimataifa, ambao wamepaza sauti kuhusu tishio la amani nchini kufuatia kifo cha Ally Kibao...
  4. Waufukweni

    James Mbowe: Bunge la Tulia ni Dhaifu na Halina Ubinadamu

    Mwanachama wa CHADEMA, James Mbowe, amekosoa vikali Bunge chini ya Spika Tulia Ackson, akisema kuwa ni dhaifu na halina ubinadamu. Kauli hii imekuja baada ya Bunge kutupilia mbali ombi la kujadili suala la utekaji na mauaji, ambapo Aida Joseph Khenani alitoa hoja ya kuitaka Bunge lijadili suala...
  5. Waufukweni

    Mnyika ashindwa kuripoti polisi wito wa upelelezi wa mauaji ya Ally Mohamed Kibao

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameshindwa kuitikia wito aliopewa na Jeshi la Polisi kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kinondoni kuhojiwa kuhusu mauaji ya aliyekuwa kada wa chama hicho, Ali Kibao. Wito wa polisi ulitolewa Septemba 16, 2024 na Mkuu wa Upelelezi Mkoa...
  6. Waufukweni

    John Mnyika aitwa Polisi kwa uchunguzi mauaji ya Ally Mohamed Kibao

    Jeshi la Polisi Tanzania limemuita Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na mauaji ya Ally Mohamed Kibao. Kulingana na barua rasmi iliyotolewa tarehe 16 Septemba...
  7. Mkalukungone mwamba

    Dkt Nchimbi: CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi ,amesema CCM imekasirishwa sana na mauwaji ya aliyekuwa Mshauri wa CHADEMA Ali Kibao na serikali iharakishe haraka uchunguzi na matukio yakomeshwe. "Chama chetu kinaunga mkono kauli ya Rais wetu yakutaka uchunguzi wa haraka ufanyike...
  8. Cute Wife

    Wakili CHADEMA athibitisha Mnyika kuitwa Polisi Kinondoni, RPC asema hana taarifa

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ametakiwa kuripoti Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano, Wakili wa chama hicho amethibitisha. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Septemba 12, 2024 Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema kiongozi huyo ameitwa na Ofisa Upelelezi...
  9. magnifico

    Luqman Maloto: Sauti kutoka kaburini kwa Ali Kibao ifike hadi ikulu kwa Rais Samia

    KATA ya Mzingani, Tanga, nyumbani kwa Ali Mohammed Kibao, ni eneo la tukio. Watu wanazomea, makofi yanapigwa na mayowe ya kushangilia. Ajabu, mkusanyiko ni wa msiba. Shughuli ni mazishi. Ali ndiye kichwa cha habari cha msiba. Amefariki dunia. Mazingira ya kifo yanaogofya kupita kiasi. Ali...
  10. Mr-Njombe

    Masauni na IGP Wambura wakijiuzulu itatoa picha gani kitaifa na kimataifa?

    Wana JF Kumekua na maoni, mitazamo, mapendekezo na wito kutoka kwa watu mbalimbali mashuhuri, taasisi na vyama vya kisiasa kumtaka waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani ajiuzulu nafasi yake, lakini pia hata mkuu wa Jeshi la Polisi nchini nae kufanya vivyo hivyo kulingana na changamoto za...
  11. Waufukweni

    Askofu Mwamakula: Taifa linaelekea kubaya watawala wasiwe viziwi kwa haya matukio

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji wapo ndani ya jamii na hatari inayokua inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa. Amesisitiza haja ya...
  12. Waufukweni

    Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza vyenyewe sakata la Mauaji na Utekaji nchini

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameibua wasiwasi juu ya uwezo wa vyombo vya usalama nchini kuchunguza kesi za mauaji na utekaji zinazoshika kasi hivi karibuni. Lissu amesisitiza kuwa ni vigumu kwa vyombo hivyo kujichunguza vyenyewe na kutoa haki, akidai kuwa uchunguzi wa huru...
  13. Roving Journalist

    Familia yaomba uchunguzi wa haraka Kifo cha Ali Kibao, Waziri Masauni akabidhi Tsh. 5m ya Rambirambi

    Familia ya aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Marehemu Ali Mohamed Kibao aliyezikwa jijini Tanga wameiomba Serikali kuharakisha uchunguzi wa kifo cha baba yao ambae mwili wake ulipatikana maeneo ya Ununio, Dar es Salaam akiwa ameuawa baada ya kutekwa...
  14. Waufukweni

    Mzee Butiku ashangazwa na IGP Wambura kutojiuzulu

    Mzee Joseph Waryoba Butiku, Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere amshangaa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura "anasubiri nini kujiuzulu?" kufuatia matukio ya kuuawa na kutekwa kwa raia nchini. Soma pia: => Ni nani hasa anaamuru watu kutekwa na...
  15. L

    UVCCM Dodoma Walaani Vikali Mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA, wautaka umma kukemea Vitendo hivyo bila kuchoka

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio taarifa yao .naiweka kama ilivyo pasipo kuweka neno langu hata moja wala nukta. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Dodoma umelaani vikali matukio yote ya utekaji na uhalifu yanayoendelea kujitokeza nchini, ikiwemo kuuawa kwa Mjumbe wa...
  16. Erythrocyte

    Hata Magufuli aliagiza Uchunguzi wa shambulio la Lissu Ufanyike, Je Ulifanyika? Ujasiri wa kuamini kauli ya Rais Samia mnautoa wapi?

    Hakuna uwezekano wowote ule wa kuwaamini viongozi wa CCM, hata kama wewe ni Mjinga kiasi gani, ili uwaamini unapaswa kuwa huna kabisa Ubongo. Dkt Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kama alivyo Samia Suluhu leo, Aliagiza waliomshambulia Tundu Lissu watafutwe, na katika...
  17. Nyankurungu2020

    Je, kuna kitu hakipo sawa kati ya CHADEMA na Polisi? Kama kipo watujuze. Mauaji ya huyu mzee yamewauma sana Watanzania

    Juzi kati hapa polisi waliwatuhumu CHADEMA kuwa na njama za kuchoma vituo na kuleta ghasia. Tuhuma ambazo zilitolewa na msemaji wa jeshi la polisi. CHADEMA walijibu juu juu na kukanusha . Walibaki kumshambulia msemaji wa jeshi la polisi kwa kebehi na vitisho. Huyu mzee aliyeuawawa kikatili...
  18. BLACK MOVEMENT

    Utekaji unachagizwa sana na ukondoo wa wabongo

    Kwaza ieleweke utekaji uko almost Dunia nzima. Ila tunazidiana njia na mazingira ya utekaji. Kwa Tanzania mazingira ya utekaji ni mepesi sana ni kiasi tu cha watekaji kusema sisi ni Police basi wanaondoka na mtu.Haya mazingira yanachagizwa sana uzezeta wa sisi Wabongo, lazima tukubali kwamba...
  19. THE BIG SHOW

    Hongera Rais kwa kukemea mauaji ya kada wa CHADEMA, Polisi ni vema itupe majibu kana kwamba kada huyo alikuwa ni wa CCM

    Friends and Enemies, Nimeifurahia kauli ya Mh RAIS ya KUTOA pole Kwa Msiba wa Ndug Ally KADA wa CHADEMA kilichotokea hivi karibuni. Inna Lillah waina illay Rajiun. Rais Samia amefanya jambo jema Kwa kutoa kauli hiyo Kwa wakati na kujiweka mbali na kando na vitendo hivyo vya udhalim na...
  20. J

    Familia ya Kibao: Muislamu akifa kinachofuatia ni Mazishi, mengine ataamua Allah!

    Baba mdogo wa Ally Mohamed Kibao amesema kwa mujibu wa Dini yao Mtu akifa kinachofuatia ni mazishi yake Hivyo wao Kesho mchana watamzika Mpendwa wao Ally Mohamed Kibao Mengine wanamwachia Allah Soma Pia: -Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali...
Back
Top Bottom