ally kibao auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania ipo njia panda

    Maoni Tanzania iko kwenye njia panda ya kuogofya Kuna dalili za kutia doa ahadi za Rais Samia – baada ya kuingiamadarakani, kuwa atahakikisha Tanzania inaheshimu misingi yahaki na kuimarisha demokrasia. Hata hivyo,bado hajachelewa kutimiza aliyoahidi, licha ya nchi kugubikwa na matukio...
  2. Mabasi mengi ya kisasa yana kamera, tunaamini waliomteka Hayati Ali Kibao wanajulikana. Polisi waanzie hapa

    Huu ndio Ukweli wa hali ya mambo kwa sasa, Hakuna mtekaji anayeweza kujificha, Ni suala la Polisi tu kufanya kazi yao ama Waamue wenyewe kuwalinda. Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana Baada ya Katibu Mkuu wa Chadema kutoa taarifa ya kutekwa kwa...
  3. Ni wakati sahihi wa IGP kujiuzulu ama Rais achukue hatua

    Hakuna kinachozuia IGP kujiuzulu kwa haya yanayoendelea. Mauaji ya watu wasio na hatia tena mchana kweupe wanakwapuliwa kwenda kuuawa ni dhahiri polisi na usalama wanashirikiana kutekeleza hayo. TISS ipo chini ya ofisi ya Rais na aliitaka ikae chini yake kupitia mabadiliko ya sheria ya TISS...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…