Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameshindwa kuitikia wito aliopewa na Jeshi la Polisi kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kinondoni kuhojiwa kuhusu mauaji ya aliyekuwa kada wa chama hicho, Ali Kibao.
Wito wa polisi ulitolewa Septemba 16, 2024 na Mkuu wa Upelelezi Mkoa...
Jeshi la Polisi Tanzania limemuita Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na mauaji ya Ally Mohamed Kibao.
Kulingana na barua rasmi iliyotolewa tarehe 16 Septemba...
Sijui Mch. Peter Msigwa anaweza kuwa na maoni gani akimwona mwamba Freeman Mbowe hasimu wake akiwa katika ubora wake kama hivi
Hii ilikuwa ni baada ya kuwa tukio la kuzomewa kwa Waziri Hamad Masauni na kushindwa kutoa hotuba yake kutokea na Freeman Mbowe kutuliza waombolezaji na baadaye...
Hiki kifo cha Ally Kibao kimetokea ni kwa vile Rais hakupewa taarifa sahihi kuhusu utekaji na mauaji.
Kwa hali tuliyofikia ya watu wanateka hadharani na kuua eti wakisema "tumekuja kuchukua mtu wetu" haikubaliki na hii inaashiria kuwa ndani ya CCM na Serikali iko shida kubwa.
Kisa cha...
Jiji la Tanga limegubikwa na huzuni kubwa mchana huu kufuatia msiba mzito wa ALI MUHAMMAD KIBAO.ALI MUHAMMAD KIBAO alikuwa ni Mtoto wa Sheikh Muhammad Ali Albuhri.
Baba yake mkubwa ALI MOHAMED KIBAO ni Hemed bin Jumaa bin Hemed ambaye amewahi Kuhudumu kama Mufti Mkuu wa Tanzania. Msiba huu ni...
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka...
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri...
Hakuna kinachozuia IGP kujiuzulu kwa haya yanayoendelea. Mauaji ya watu wasio na hatia tena mchana kweupe wanakwapuliwa kwenda kuuawa ni dhahiri polisi na usalama wanashirikiana kutekeleza hayo.
TISS ipo chini ya ofisi ya Rais na aliitaka ikae chini yake kupitia mabadiliko ya sheria ya TISS...
allykibao atekwa
allykibao auawa
allymohamedkibao
igp
igp kujiuzulu
kifo cha kibao
rais samia
salam za rais samia
siasa tanzania
usalama wa taifa
utekaji tanzania
uwajibikaji
watu wasiyojulikana
Kifo cha Viongozi wa Upinzani Tanzania: Hadithi za Kusikitisha za Kupotea kwa Viongozi Muhimu
TUJIANGALIE TUPO PABAYA SANA LEO KULIKO JANA SONGA NAYO.
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekumbwa na matukio kadhaa ya kutekwa na kuuawa kwa viongozi wa vyama vya upinzani, hususan CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.