Ally Kleist Sykes (10 October 1926 – 19 May 2013) was a veteran Tanzanian politician and one of the 17 founders of the Tanganyika African National Union.
Katika picha hiyo hapo chini aliye hai kadri ya ufahamu wangu ni Mrs. Frank Humplink.
Katika watu hawa saba mimi nimebahatika kukutana na wanne: Mrs. Humplink nimekuwa nikienda nyumbani kwake Lushoto wakati wa uhai wa mumewe, Frank Humplink, Peter Colmore nimezungumza na yeye nyumbani kwake...
Picha hiyo hapo chini inatoka kwenye Maktaba ya marehemu Ally Sykes.
Mimi picha hii nilikuwanayo lakini ilikuwa nakala iliyochoka kupita kiasi na ni hiyo iliyo hapo chini.
Kulia ni Haruna Iddi Taratibu (Central Province), Saadan Abdu Kandoro (Lake Province), Julius Nyerere (Eastern Province)...
Leo nimepokea picha kutoka Maktaba ya Picha ya Ally Sykes.
Nimeona niiweke picha hiyo hapa pamoja na ukurasa mmoja kutoka mswada ambao mimi na marehemu mzee wangu tuliukamilisha wakati akiwa hai.
A PAGE FROM: ''UNDER THE SHADOW OF BRITISH COLONIALISM'' ALLY SYKES AND MOHAMED SAID
Kwame Nkrumah...
KISA CHA AL NOOR KASSUM NA ALLY SYKES 1957
Leo asubuhi tarehe 19 November, 2021 nimeona taarifa ya kifo cha Al Noor Kassum.
Al Noor Kassum ametumikia Tanzania katika nyadhifa nyingi tofauti.
Nimekutana na Al Noor Kassum wakati naandika maisha ya Ally Sykes, '''Under The Shadow of British...
NDANI YA NYARAKA KATIKA SEFU YA ALLY SYKES KUTANA NA MAKACHERO WA DAR ES SALAAM NA MAKACHERO WA SALISBURY
Naamini msomaji wangu umeniona na kunisikia nikiwazungumza wala wazalendo saba waliolala ndani ya safe ya Ally Sykes.
Nimeeleza kuwa Ally Sykes na Denis Phombeah walikamatwa Salisbury...
ALLY SYKES, JULIUS NYERERE, ALLY MWINYI TAMBWE NA BI. MAIDA SPRINGER MOSHI 1957
Kutoka mswada wa Ally Sykes, ''Under the Shadow of British Colonialism The Autobiography of Ally Kleist Sykes.''
Kama niliyotangulia kueleza kuwa nilikutana na Bi. Meida Springer katika Nyaraka za Sykes.
Maida...
PAULA PARK ALIPONZWA NA ALLY SYKES 1986
Hayo hapo chini kwa hakika ni ya kale na yanatufunza matatizo yaliyokuwapo katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika.
Ally Sykes ameacha kumbukumbu nyingi katika historia ya kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.
Hebu tutembee katika Mtaa wa...
ABDULWAHID SYKES NA NDUGUZE HISTORIA ILIYOPOTEA
Gazeti Raia Mwema la Ijumaa tarehe 21 Mei, 2021lilichapa taazia ya Abbas Sykes kwa bahati mbaya wakaweka picha za kaka yake, Ally Sykes badala ya Abbas Sykes.
Gazeti la leo likaomba radhi kwa kusema kuwa waliweka picha ya Kleist Sykes ilhali...
KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953
Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97.
Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati Afrika ilipokuwa katika harakati ya kupigania uhuru wake.
Usiku umekuwa mwingi In Shaa Allah kesho...
MUNANKA ROAD BUNJU
Nimeuona mtaa huo hapo chini wa Munanka Bunju.
Naingia Maktaba kumtafuta Bhoke Munanka.
Bhoke Munanka nimekutananae wakati natafiti maisha ya Ali Migeyo.
Katika kitabu cha Abdul Sykes kwa mara ya kwanza namtaja Bhoke Munanka kana hivyo hapo chini:
Katika majimbo ya ziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.