almas kasongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Almas Kasongo: Mashindano ya CHAN yatavuruga ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi

    Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa michuano ya CHAN itapangua ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi hivyo maofisa wa ligi tangu jana wameanza kukaa kwa ajili ya kufanya mabadiliko ya ratiba ili kwenda sawa na ushiriki wa mashindano ya CHAN. “Tumepokea hiyo ratiba ya Chan...
  2. Mkalukungone mwamba

    Almas Kasongo: Bodi ya ligi itatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira

    Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari. “Kuna Muda unamsikiliza Ofisa Habari wa timu na...
  3. Mkalukungone mwamba

    VAR kutumika msimu wa 2024/25 ligi kuu ya NBC

    Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Almas Kasongo amesema msimu ujao 24|25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu. Amesema, mfumo wa (VAR) utafungwa kwenye baadhi ya viwanja vinavyokidhi vigezo Nchini. Katika viwanja vya awali ni Benjamini Mkapa, Azam Complex, Mkwakwani Tanga na...
Back
Top Bottom