MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kata ya Ushokola Wilayani Kaliua.
Mhe. Aloyce Kwezi akiwa katika...
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi amezindua Shule ya Usimba Sekondari iliyopo katika Wilaya ya Kaliua ambapo aliambatana na Diwani wa Kata ya Usimba Ndugu Masanja E. Msonde.
Wakazi wa Kata ya Usimba walijitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Sekondari hii ambayo itawapa manufaa watoto...
MBUNGE ALOYCE KWEZI: MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025 SERIKALI IJENGE BARABARA YA MPANDA - KALIUA - KAHAMA
"Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujenga Taifa letu. Nawapongeza Mawaziri, Komredi Mwigulu Lameck Nchemba na Professor Kitila...
MHE. ALOYCE KWEZI APIGANIA ARDHI YA VIJIJI VYA USINGA & UKUMBIKAKOKO ILI WASINYANG'ANYWE
Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora Mhe. ALOYCE ANDREW KWEZI akiwa Bungeni Dodoma amesema ardhi ya Vijiji vya Usinga na Ukumbikakoko inapaswa kuendelezwa kama ambavyo Rais Samia na timu ya Mawaziri 8...
Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora, Mhe. Aloyce Kwezi ameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Hassan Suluhu kwa kutoa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 1.162 kwa ajili ya ujenzi wa shule za Msingi 4 katika Jimbo la kaliua.
Mhe. Kwezi amezitaja Shule hizo...
MBUNGE WA KALIUA MHE. ALOYCE KWEZI AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Mhe. ALOYCE KWEZI amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akiainisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.