Alpha Condé (born 4 March 1938) is a Guinean politician who was President of Guinea from December 2010 to September 2021. He spent decades in opposition to a succession of regimes in Guinea, unsuccessfully running against President Lansana Conté in the 1993 and 1998 presidential elections and leading the Rally of the Guinean People (RPG), an opposition party. Standing again in the 2010 presidential election, Condé was elected president in a second round of voting. When he took office that December, he became the first freely elected president in the country's history. Condé was reelected in 2015 with about 58% of the vote, and again in 2020 with 59.5%. Fraud was alleged in the 2020 election.Upon his election in 2010, Condé said he would strengthen Guinea as a democracy and fight corruption. Condé and his son were later implicated in corruption scandals, mostly related to the mining industry, and suspected of election rigging.On 30 January 2017, Condé succeeded Chad's Idriss Déby as head of the African Union. He was succeeded by Rwandan President Paul Kagame on 28 January 2018.On 5 September 2021, Alpha Condé was arrested and overthrown by the Guinean military in the 2021 Guinean coup d'état.
Mamlaka za Guinea zimesema zitamshtaki aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Alpha Conde (84) pamoja na Maafisa wake 27 kwa makosa mbalimbali yaliyofanyiwa akiwa Madarakani.
Mbali na mauaji makosa mengine wanayotuhumiwa kufanya ni mauaji, kuwekwa kizuizini kinyume cha Sheria, utekaji nyara, utesaji na...
Wanajeshi waliofanya Mapinduzi wamesema hawatakubali kushinikizwa na kumruhusu Rais Alpha Conde ambaye anashikiliwa tangu kupinduliwa Septemba 05, 2021 kuondoka Nchini humo
Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara na Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo walisafiri kwenda Mji Mkuu wa Guinea, Conakry...
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeweka vikwazo dhidi ya Wanajeshi waliofanya Mapinduzi Nchini Guinea wakitaka Uchaguzi Mkuu kufanyika ndani ya miezi 6.
Wameweka marufuku ya kusafiri kwa Wanajeshi hao pamoja na ndugu zao, wakisisitiza Rais Alpha Conde kuachiwa mara...
Jeshi Nchini Guinea limetangaza mchakato wa kufungua taratibu Mipaka na Nchi jirani ambayo baadhi ilifungwa baada ya Rais Alpha Conde kupinduliwa na mingine ilikuwa imefungwa miezi kabla
Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Rais Conde aliamuru Mipaka ya Senegal, Sierra Leone na Guinea-Bissau...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito kwa viongozi wa mapinduzi nchini Guinea ''kuondoka'', akisema kuwa mapinduzi hayo ni ''hatua za kurudi nyuma''.
''Wanapaswa kuambiwa waondoke kwasababu wao si suluhisho la nchi,'' Bw. Museveni aliiambia France 24.
''Tulikuwa nayo mapinduzi miaka ya...
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonio Guterres, Jumapili amelaani kile kinachotajwa kama mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea, na kuwasihi wanajeshi waliosema wamefanya mapinduzi hayo na kuchukua madaraka, kumuachilia huru rais Alpha Conde.
Guterres ameandika kwenye twitter “ Mimi binafsi...
Nimeona sehemu wanasema rais wa Guinea amepinduliwa na wanajeshi waasi na anapelekwa kwenye mahakama ya kijeshi
===
GUINEA: WANAJESHI WAMPINDUA RAIS
Wanajeshi wamefunga mipaka ya Guinea na kufunga anga baada ya kufanya mapinduzi na kutangaza kutoitambua Katiba iliyorekebisha na Rais Alpha...