Aliyejitambulisha kuwa ni Mchungaji wa Kanisa la Uamsho na Matengenezo ya Kiroho Ulimwenguni, Mwalimu Augustine Tengwa akiambata na wenzake wamevishauri vyombo vya ulinzi na usalama kusimama vema katika nafasi zao hususani kipindi cha uchunguzi ili kuepusha mazingira yoyote ya uvunjifu wa amani...