Alphonce Felix Simbu (born 14 February 1992) is a Tanzanian long distance runner who specialises in the marathon. He competed in the marathon event at the 2015 World Championships in Athletics in Beijing, China.He competed for Tanzania at the 2016 Summer Olympics in the men's marathon. He finished 5th with a time of 2:11.15. He was the flag bearer for Tanzania during the closing ceremony.He won the 14th edition of the Mumbai Marathon on 15 January 2017.In 2019, he competed in the men's marathon at the 2019 World Athletics Championships held in Doha, Qatar. He finished in 16th place.
Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa mstari wa mbele kuhamasisha na kukuza Michezo Tanzania ukiwemo wa riadha ,
ila kuna Vizee vilivyopo kwenye Kamati ya Olimpiki Tanzania (Tanzania Olimpic Committee ~ TOC) vinaendekeza hila na uzandiki wa kufikia kumuita mwanariadha wa kimataifa...
Mwanariadha wa kimataifa Alphonce felix Simbu aliyekuwa anagombea uongozi wa Kamisheni ya Wachezaji (KAWATA) wa Olimpiki Tanzania jina lake limekatwa na wazee wa wanafiki na wazadiki wa TOC, ambao ni Henry Tandau na Rashid Ghulamu Sababu kubwa ni yeye simbu kukataa kukimbilia kampuni ya Asics...
Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi 4 kwa muda wa saa mbili , dakika 4 na sekunde thelathini na nane ( 2:04:38 PB) na kuweka muda bora zaidi ya uliopita wa (2:05:39 huko China) kwenye mbio za Valencia Marathon 2024 huko Valencia, Uhispania.
Mashindano hayo yamefanyika...
Mwanariadha kutoka tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kushindana na manguli wenzake kama Joshua Cheptegei wa Uganda kwenye mbio za delhi half Marathon mapema leo jumapili tarehe 20/10/2024 huko New Delhi, nchini India.
Mimi nikiwa mdau mkubwa wa riadha nimeona niandike huu uzi kupinga comments za kisiasa zinazotolewa na watu mbalimbali kuhusu wanariadha wa Tanzania walioshiriki Olympic Marathon 2024 za Paris.
Comments nyingi ni za kisiasa kutoka kwa watu hata wasiojua utaratibu wa mtu kushirikishi mashindano...
Wanamichezo watatu wa Tanzania walioko Paris kwenye michezo ya 33 ya Olimpiki ya majira ya joto ya Paris 2024 wameendelea na mazoezi makali chini ya makocha wao, wakijiandaa kwa michuano yao inayoanza rasmi kesho Jumatatu Julai 29, 2028.
Tanzania itatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa naMichezo Dkt. Suleiman Selela atakabidhi bendera na kuiaga timu ya Taifa itakayoshirikikatika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto inayoanzasiku ya Ijumaa Julai 26 hadi Jumapili Agosti 11, 2024 jijiniParis na miji mingine 16 nchini Ufaransa...
alphoncefelixsimbu
gabriel gerald geay
kuagwa
marathon
olimpiki
olimpiki paris 2024
olimpiki ufaransa 2024
paris
shirikisho la riadha tanzania
tanzania olimpiki 2024
tanzania yashiriki olimpiki
BAADA ukimya wa muda mrefu , Timu ya Taifa ya Riadha ipo kambini Sakina , Arusha tayari kuanza kuendela na maandalizi ya mashindano makubwa ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai 26 hadi Agosti 11 huko Paris Ufaransa.
Tanzania itawakilishwa na wanariadha wanne ambao wanakimbia mbio ndefu...
Mwanariadha Alphonce Felix Simbu Ashinda Mbio za "Africa Day Marathon 2024" kilomita 15 kwa muda wa 42:56:50, huku nafasi ya pili akichukua John Nahhay Wele Muda 43:11:50 na nafasi ya tatu ikienda Kwa Faraja Lazaro Damasi Muda 43:29:47 tarehe 18/05/2024 Jijini, Dar es Salaam...
KATIKA kuadhimisha Siku ya Afrika 'Africa Day', Tanzania itaadhimisha kwa tukio hilo kwa mbio zitakazokwenda kwa jina la 'Africa Day Marathon' zitakazopambwa na wanariadha nyota wa zamani na wa sasa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kaimu Katibu Mkuu Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Wakili...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu ashinda medali ya Shaba kwa kushika nafasi ya Tatu , kwa muda wa (2:07:55) kwenye Mashindano ya DAEGU MARATHON yaliyofanyika usiku wa leo 7/04/2024 huko Korea Kusini.
Mshindi alikuwa Stephen Kiprop ; 2:07:04 na pili alikuwa Kennedy...
Baada ya Medali ya Kwanza ya Fedha kutoka Kwa Mwanariadha Alphonce Felix Simbu aliyoipata kwenye Mbio Ndefu Marathon Tarehe 30/07/2022, Leo Jioni Tanzania imehitimisha ngwe ya ndondi kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwa kupata medali mbili za shaba baada ya bondia wake wa pili Kassim...
Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha ,kwa kukimbia muda (2:12:29) nyuma ya Mganda Victor Kiplagat (2:10:55) na Mkenya wa Tatu Kwa Muda (2:13:16), kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika Jijini Birmingham, Uingereza Leo Tarehe 30...
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu afanya Vizuri baada ya Kukimbia Kwa Muda wake mzuri wa saa Moja na sekunde Tatu (1:00:03), kwenye Mbio za Nusu Marathoni -katika Mashindano ya Riadha Falme za kiarabu ( TheRAKHalfMarathon) zilizofanyika Leo.
Amekimbia Muda wake mzuri...
Mwanariadha wa kimataifa, atakaeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Olimpiki Japan mwaka huu Alphonce Felix Simbu ameshinda mbio za BIMA Marathon 21K kwa muda wa (1:02:09), naye mwakilishi pekee wa kike wa mashindano ya Olimpiki Failuna Abdi Matanga ameshinda mbio hizo kwa muda wa (1:16:52)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.