alphonce mawazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BabuFey

    Watuhumiwa wa mauji ya Alphonce Mawazo waachiwa huru

    Radio Free Africa leo kwenye habari kwa ufupi saa nane mchana imeaarifu kuwa Watuhumiwa hao wame achiwa huru na mahakama baada mwendesha mashtaka kusema hana nia kuendelea na kesi. Ikumbukwe marehemu alikuwa mchana mbele ya watu kwa mujibu wa taarifa za wakati huo. Habari kamili kwenye taarifa...
  2. M

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Tundu Lissu atembelea kaburi marehemu Alphonce Mawazo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameitembelea familia ya aliyekuwa wanachama wa chama hicho marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Chikobe Wilaya ya Geita mkoani Geita. Pia soma > TANZIA - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa...
Back
Top Bottom