Waziri wa Mazingira, Adam Aw Hirsi amesema amenusurika katika tukio hilo lililotokea katika Hoteli ya Villa Rose inayotumiwa mara nyingi na maafisa wa juu wa Serikalini.
Inadaiwa kuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Mohamed Ahmed naye amenusurika, ambapo Al-Shabab wamekiri kuhusika na uvamizi huo...