MAALIM ALY BASALEH SHEIKH SHUJAA
Nimepata taarifa ya kifo cha Sheikh Aly Basaleh msikitini petu Masjid Nur leo baada ya Sala ya Maghrib.
Nilipofika nyumbani kitu cha kwanza nilichofanya ni kuingia Maktaba kutafuta kitabu alichoandika, ‘’Kwa Nini Waislamu Walalamika,’’ kilichotolewa na Baraza...