Watu wengi wanajenga nyumba lakini hawafaidi. Nyumba inakuwa ya moto inabidi ashinde bar aje amechelewa.
Wengine tangu wajenge hawajawahi kuingia ndani ya hizo nyumba.
Mwingine anamaliza kujenga tu anapata uhamisho anaishia kupanga wakati ananyumba sehemu.
Wengine wanajenga nyumba lakini...