amani manengelo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 BAVICHA Mbeya: Tunamtaka Amani Manengelo aliyotoweka arudishwe akiwa mzima, tusije tukavuka mstari ambao hatutaki kuuvuka

    "Nitoe wito kwa OCD Misungwi, nitoe wito kwa RPC Mwanza, nitoe wito kwa Waziri wa mambo ya ndani, na nitoe wito kwa anayefanya kazi ya kuteua hao wote, Amiri jeshi mkuu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nitoe wito kwamba maisha na uhai wa mtu mmoja unafaa kuwa na thamani kubw...
  2. Polisi Mwanza: Tunachunguza tukio la kutekwa kwa Katibu wa Bavicha Mwanza

    Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa linafanyia uchunguzi madai ya kutekwa kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo (30). Inadaiwa kuwa Manengelo alichukuliwa na watu wanne kutoka nyumbani kwa rafiki yake, Jovin Thomas (32), ambaye pia ni Mwenyekiti...
  3. Pre GE2025 Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi

    Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi, Mwanza. Ameandika Martin Maranja Masese Amani Manengelo ni kiongozi wa vijana wa CHADEMA mkoa wa Mwanza. Katibu wa BAVICHA Mkoa - Mwanza. Nimepata habari za kutekwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…