amani na upendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leo ni siku ya kuleta mabadiliko mazuri. Endelea mbele kwa nguvu na Imani

    Asubuhi mpya ni nafasi mpya ya kuandika ukurasa mwingine wa maisha yako. Jipe moyo, ongeza bidii, na uamini uwezo wako. Hakuna kinachoweza kusimama mbele yako ikiwa una nia thabiti na moyo wa ujasiri. Kumbuka, kila changamoto ni fursa ya kukua na kila mafanikio ni matokeo ya juhudi zako. Leo...
  2. Haya ni mambo machache ya kukumbushana ili kuendeleza Amani na Upendo mitaani. Una kipi cha kutukumbusha?

    1. Epuka Mke au Mume wa mtu 2. Epuka Dhuruma 3. Epuka Wanafunzi Je, una lipi la kutukumbusha? Muwe na weekend njema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…