Uimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania.
CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania...