Kumekuwa na songombingo kuhusu baadhi ya Michezo ya ligi ya NBC Bara kwenda kuchezewa katika uwanja wa Amani Zanzibar.
Mjadala umekuwa ni mpana. Suala hili lilianza pale Simba walipokuwa wanatafuta uwanja wa kuchezea baada ya Lupaso kufungwa na Simba kutotaka kutumia uwanja wa Azam Chamazi...
Match Day
CAF Champion League
Young Africans SC VS CBE SA
2nd Preliminary round
2nd Leg
Stadium: New Amani Stadium Zanzibar
Date: 21-09-204
Time 8:30pm EAT
Soma Pia: FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024...
Nitakua mtu wa mwisho kukubaliana na wote wanaosema uwanja wa New Amani stadium ni uwanja bora kuanzia kwenye pitch hadi setting kuanza na taa mpaka kwenye billboards kuzunguka uwanja kama hakuna project ya maboresho na sidhani kama CAF wanawezesha upitisha kutumika kwenye michuano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.