Biashara imekuwa biashara, tuna maliza mpaka miezi kadhaa hatuonani.
Juzi nimekuta kanipigia simu , nikasema nimpigie Mama mtoto wangu, daah...! anapokea simu ananambia "ulikua unasemaje" , nikaikata simu mara moja.
Bora tumeachana kabla hatujaoana tume epusha mengi.Sasa hivi bora ni deal na...
Habari za jioni wanaJF, kwanza nitangulie kusema sina mgogoro wowote wa kifamilia, kuhusu kazi sio mwajiriwa ni mchakalikaji wa mtaani, sina madeni ya kutisha ambayo may be yanaweza kunipa stress, ingawa nina hofu ya kutofikia lengo ifikapo 30 june mwaka huu hali ambayo nahisi itaniathiri sana...
Kama mawazo hasi, mawazo ya kujiua, mawazo ya kujihisi mpweke, mawazo ya kukataliwa au mawazo yoyote yanayokufanya ukose amani ya moyo basi ujumbe huu unakufaa sana, ujitahidi ufanye hivi.
Kila mtu hupatwa na mawazo hasi kwa namna moja au nyingine katika muda tofauti.
… ila kinachojalisha...
Kuna muda nilikuwa nikikaa peke yangu najihisi huzuni sana, na nilikuwa sijui huzuni inatoka wapi. Au kuna muda mwingine nikiwa peke yangu najihisi kutaka kulia, kuna mwanamke miaka miwili iliyopita nilikuwa nae katika mahusiano.
Baada ya muda akawa amepata ujauzito na alikomaa kwelikweli kuwa...
Watu wengi wakiwa watoto wanafanyiwa matukio ya kuumiza na kwasababu ya udogo wao wengi hupuuzwa au kuongezewa maumivu badala ya kushughulikia madhara yaliyoletwa. Kutokana na dhana iliyojengeka kuwa "Mkubwa hakosei" wazazi/ walezi wengi huwa hawaombi msamaha endapo amemkosea mtoto, na watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.