Amapiano (Zulu for "the pianos") is a style of house music that emerged in South Africa in 2012. Amapiano is a hybrid of deep house, jazz and lounge music characterized by synths, airy pads and wide and percussive basslines. It is distinguished by high-pitched piano melodies, Kwaito basslines, low tempo 90s South African house rhythms and percussions from another local subgenre of house known as Bacardi.
Ukienda club mdada anajua kucheza piano anaringa kama mwenye degree ya MD
Ukimuongelesha mashangazi nawakumbusha Kuna walikuwa wanaringa na style za VIDUKU
Mwimbaji hodari kutoka nchini Kenya Bien-Aime Baraza amesema, Wasanii wa Tanzania wangeweka nguvu na bidii kwenye muziki wa Singeli kama ambavyo waliweka bidii kwenye Amapiano, basi muziki wa Tanzania ungekuwa umeenda mbali sana. Bien alienda mbali zaidi na kusema, hata kushinda Tuzo ya Grammy...
Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani.
UBAYA UBWELA
Kulingana na mtandao wa Spotify imetangaza wimbo wa “Champion Sound” wa mwanamuziki kutoka Nigeria David Adeleke (Davido) aliomshirikisha rapa kutokea South Africa Lethabo Sebetso (Focalistic) ndio wimbo ulioongoza kwa kusikilizwa zaidi katika mtandao huo.
Spotify ilitoa tangazo hilo mnamo...
Kompa music vs Amapiano.
Nadhani ni muda muafaka sasa wasanii wa Muziki nchini Tanzania wakatibadilishia ladha kdigo toka Bongo piano kuelekea Kompa.
Au ikishindikana kabisa wafanye mchanganyiko wa Bongo piano na Bongo Kompa. Kompiano ndio itakuwa balaa jipya mjini ndani ya miezi miwili ijayo...
Nilishawahi kuona vitoto vya chuo vikicheza Amqpiqno kwa style hiyo ya kubinulisha mboni za machoxjuu na kuchezesha kope za macho kama mtu anapandisha mashetani hivi..,
Ila nimeona mwanaume anafanya hivyo nimeona kituko sana..,kwanza ndio nini hivyo?
Hizi Amapiano toka zilipo anza kuvuma South Africa na wasanii wengi wa Afrika kuanza kuzifanya Wasauzi wamebaki kuwa watabe wa huu mziki.
Wasanii wengi wa nje ya South Africa wanaofanya na wanao jaribu kufanya Amapiano ni kama wanapiga makelele tu hapa nawazungumzia hasa wabongo na Wapopo...
Wakuu
Tangu muziki huu ulipoanza kusikika nchini kutokea huko south Africa.
Sasa imekuwa fashion kila wimbo unaotoka basi jua ni amapiano tu na tumezoea imekuwa kawaida kabisa.!
Mpaka wazee nao wanaruka amapiano.! Unabisha? Nenda mpaka kwenye sherehe wanapiga na wazee wanaruka tu...
Hivi aina hii ya music maDJ nani kawadanganya kila mtu anaipenda? Mnadhan kila mtu anavutiwa na ujinga wa hizo viral za tiktok?
Nipo sehemu moja hapa naandika kwa uchungu sana sababu DJ toka saa nne anapiga huu upuuzi tu, Malaya wanasimama juu ya meza yaani kero tupu. Sehemu yenyewe wanajiita...
Kiukweli kwenye huu mziki kuna wasanii wanaleta usodoma na gomola kwenye taifa letu.
Wanaimba maneno yasioeleweka kwenye kamusi yoyote, alafu vijana wetu wanakalili hayo.
Unakuta mtu hadi anakwenda kulala, kabla ya kusinzia ana refresh na ushetani kwanza.. wa Chino wana man.
hivi unaelewa...
Baada ya kuombwa kufanya collabo na msanii huyo amaye ni lead dancer wa Marioo, hatimaye moja kati ya MC's Bora kabisa wa Hip Hop Tanzania, FID Q ameamua kushiriki kwa nguvu zote katika collabo hiyo.
Lazma tuweke ushabiki pembeni, na tushindanishe kwa haki, tuongee ukweli kati ya Amapiano aliyotoa dada Nandy unaoitwa Falling na hii Amapiano aliotoa msanii namba moja kwa mashabiki wengi Diamond inayoitwa Shu, ipi ni ngoma kali kiukweli ukweli, ipi Ina vibe?
Hapa ieleweke nashindanisha ngoma...
Wazee wazee wazee, recently hizo bizness kaachia chuma ambacho ndani yake kuna wakali kibao wa hip hop waliotupia verse zao.
Versa ya kwanza kabisa unakutana na one the incredible akiwa kafanya yake, verse ya pili anaipokea izzoo naye katupia swagger zake pale verse ya tatu ni mnyama chaba...
Habari,
Kwa wale wenzetu waliowenyeji na South Africa naomba mnisaidie hili. Nimekutana na Makaburu wawili nyakati tofauti na wote niliwauliza kuhusu huu mziki, wote hakuonyesha kuujali kabisa. Mmoja aliniambia haujui kabisa, nilishangaa!
Iweje mziki maarufu kama huu mwenyeji wa South...
Nimejiridhisha na kwa mafanikio hizi ndo nyimbo Tani Kali zaidi za amapiano kuwahi kutengenezwa Tanzania
1. Single Again - Harmonize
2. Mama Amina - Mario
3. Ticha- Harmonize
4. Shetani - Marimboso
5. Anajikosha - Harmonize
Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa
Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.