Mo Dewji ni mwekezaji wa simba sport club kwa hisa 49% kwa nini analalamika?
1. ucheleweshaji wa mchakato wa mabadiliko
2. Upande wake umeshatimiza matakwa mahususi
3. Upande wa wanachama bado hautekelezi kinachohitajika katika hisa 51%
Ni wakati wa wanachama wa simba kumuunga mkono mo na...