Kwa asilimia kubwa kwenye maswala ya mapenzi wahanga wakubwa ni wanawake.
Siku chache zilizopita nilikuwa nacheki Tv kipindi kilikuwa cha burudani miongoni mwa wageni wa siku hiyo alikuwa Amber Rutty ambaye aliambatana na mume wake kiukweli walikuwa wamependeza Sana na walikuja kuachia kazi yao...