Habari
Vijana na bangi mnaambiwa sio nzuri amsikii
Kijana mmoja mwenye jina la kihuni maarufu kama baba jojo[19] amchoma kijana mwenzie kisu na kupelekea umauti wa kijana huyo umri miaka[ 17]
Majira ya usiku wa kuamkia tarehe 27 ulizuka ugomvi maeneo ya backtown tiptop ambapo ulipelekea...
Vijana sio kwa ubaya ila kwa Dunia yasasa kama unajijua una Wivu au hasira ni bora ukajiweka mbali na Ndoa au mahusiano ya kimapenzi.
Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha jamaa akimchoma visu mkewe baada ya kumfumania na mwanaume mwengine (INATISHA). Nimeshindwa kuipandisha video yote...
Mwanamke mmoja anayeitwa Fadhila Balama, mkazi wa Kitwiru katika Manispaa na Mkoa wa Iringa, anakabiliwa na tuhuma za kumuua mume wake, Denis Chumbula, kwa kumchoma kitu chenye ncha kali baada ya mzozo kati yao.
Hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa, Nazareno Mangw'ata, ambaye amesema tukio...
David Njuguna (32) mkazi wa Githurai nchini Kenya ametiwa mbaroni kwa kudaiwa kutaka kumuua mpenzi wake Mary Wangechi ambaye inadaiwa alimtishia kumuacha baada ya kugombana.
Njuguna ambaye kwa sasa kesi yake inarindima katika Mahakama ya Makadara iliyoko jijini Nairobi anadaiwa kumchoma kisu...
Mtoto mwenye umri wa miaka saba mkazi wa Mtaa wa Sido, Kata ya Ibinzamata, Manispaa ya Shinyanga, amechomwa moto mikono yake yote miwili na mama yake mzazi kwa madai ya kula wali uliokuwa umebaki.
Emanuel Kayange ambaye ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Sido, amekemea kitendo hicho, huku mtoto mwenyewe...
Mkazi wa Kijijii cha Namanjele mkoani Mtwara, Somoe Mohamed amemchoma mikono mtoto wake mwenye umri wa miaka mitano kwa madai ya kudokoa mboga na kuiba sh. 250.
Akizungumza na Mwananchi kijijini hapo leo Oktoba 4, Somoe amekiri kufanya ukatili huo, akisema lengo lake lilikuwa ni kumwadhibu...
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linamshikilia mpigadebe wa mabasi ya Abood Abdilah Yassin (32) mkazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kumuua mpiga debe mwenzake wakati wakigombea abiria kwenye stendi kuu ya mabasi Msamvu.
---
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Abdilah...
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mkazi wa mtaa wa Ilembo wilayani Mbozi, Mariko Kahinga kwa tuhuma za kumuunguza mtoto wake wa miezi sita.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe (RPC), Janeth Magomi amesema Jeshi hilo limebaini kuwa Kahinga alimchoma mtoto huyo kwa madai kuwa sio wake huku...
Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia mwanamke Janeth Doto Vicent mkazi wa mji wa Babati kwa tuhuma za kumchoma Mtoto wake wa kike sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia kitu chenye ncha kali.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Marrison Mwakyoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.