Wasalaam JF,
Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu.
Yawezekana KKKT imemfanya Mch...