amerika

  1. Crocodiletooth

    Amerika angestahili kumaliza mgogoro kati ya Ukraine na Russia, na kuisaidia Ukraine.

    Toka kiongozi mpya wa Marekani aingie madarakani, ameonyesha ulafi wa rasilimali za nchi zingine / Lakini si kwa namna hii. ---------- The White House says Pres. Trump is "very frustrated" with Ukrainian Pres. Zelenskyy. The Trump administration allegedly pressured Ukraine to sign a deal to...
  2. X

    Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

    Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo. Robotic megaport that operates...
  3. T

    Ni lini na sisi tutakusanya Marais wa ulaya au Amerika au Asia waje kwa pamoja tujadiliane fursa za kibiashara!?

    Najisikia vibaya sana jinsi Marais wetu huitwa kwa hawa ndugu zetu weupe kama vile unaita vitoto vyako vya kuvizaa. Natamani siku ifike na sie Africa kama si Tanzania tuwaite eu au Amerika waje hapa bongo alafu tukae nao mbele ya meza ya duara tujadili kwa usawa kabisa fursa za kibiashara baina...
  4. bahati93

    Nwo washirika na wajumbe

    Ukitafakari matukio ya Ugaidi yanayotokea hapa Duniani, mengi yanaonesha dalili ya kuwepo uhusiano baina yake na mipango ya kuundwa kwa Serikali Moja kubwa kutawala dunia nzima. Wahusika wa wakuu wa mpango huo makao makuu yao yapo Marekani wakiwatumia waislamu kama mojawapo ya vifaa vyao...
  5. L

    Ziara ya Bw. Wang Yi barani Afrika na Latin Amerika yaonesha kuwa China inaendelea kupanua ushirikiano wa kunufaishana duniani

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Yi, amemaliza ziara ya kidiplomasia ya mwaka huu kwa kuzitembelea Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire, ikiwa ni sehemu ya desturi ya zaidi ya miongo mitatu kwa waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika. Lakini safari hii...
  6. L

    Ziara ya Wang Yi barani Afrika na Amerika ya Kusini yaonyesha uhusiano wa kirafiki wa China na nchi nyingine za Kusini

    Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, alifanya ziara barani Afrika na Amerika ya Kusini, ikiwa ni ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2024. Imekuwa ni desturi kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya China kufanya ziara yake ya kwanza ya mwaka mpya katika bara la Afrika, desturi...
  7. tutafikatu

    Acha nikuonjeshe "ninavyojisikia" kuwa Muislamu huku Amerika

    ✅🇺🇸 Baba yangu hakuwa na budi kuwa mtumishi wa daraja la pili kwa mmoja wa madhalimu wengi wa nchi za Kiislamu wanaotumia wahamiaji kutoka India, kama familia yangu, kuwa mtumwa muhimu. Mnamo 1975, baada ya kupata PhD yake huko Rutgers, alikuwa karibu kwenda Libya - nchi ya Kiislamu -...
  8. Gang Chomba

    Kwanini Nyota wa Soka wa Amerika Kusini wanachukiana Ulaya?!

    Kwa wageni wa Soka na watoto waliouvamia mchezo huu kwa kusukumwa na shetani la kamari ndio wanaweza kushangazwa na umwamba wanao wekeana nyota wa klabu ya PSG Edinson Cavani raia wa Uruguay na Neymar jr raia wa Brazil. Lakini kwa wenyeji wa mchezo huu, ambao tulianza kuufuatilia mchezo wa...
  9. R

    FIFA kuandaa Kombe la Dunia 2030 kwenye Mabara Matatu; Amerika Kusini, Ulaya na Afrika

    Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya kwa Saudi Arabia kupata nafasi ya kuandaa mashindano hayo mwaka 2034. Kombe la Dunia la Soka...
  10. J

    Bunge la Amerika lilivyomzuia Rais wao kuridhia DP World kuendesha shughuli za bandari zao

    Mwaka 2006 DP World ya Dubai ilinunua kandarasi ya kuendesha shughuli za Bandari sita za Marekani. Wabunge wa chama tawala na upinzani kwa pamoja waliopinga DPW kupewa kazi hiyo. Wananchi nao walipinga 3:1 katika kura za maoni. Bunge likapitisha muswada wa Sheria kuzuia kampuni za kigeni...
  11. Librarian 105

    Amerika katika njia panda. Atatoboa dhoruba hii?

    Uchumi wake unaendelea kudorora kwa dola yake kuadimika, ukomo wa deni la taifa ni kitendawili.... Electrol collage! Je, tulaumu electrol collage kuchukua nafasi ya wananchi katika demokrasia?!
  12. and 300

    Tanzania kuuza magari Japan, Ulaya na Marekani

    Katika kuitikia wito wa Tanzania ya Viwanda na kufungua Uchumi. Tanzania Sasa unaenda kuuza magari yaliyoundwa nchini (pichani) na wasomi nguli waliosomeshwa Kwa Kodi zetu.
  13. Librarian 105

    Tetesi: Mjadala wa "debt ceiling" unaondelea sasa USA: ni anguko la dollar ya Amerika au kitisho kwa uchumi wa dunia?

    "Debt ceiling" ni mjadala fikirishi. America kama ipo kwenye anguko la kiuchumi vilee.., na pia wapo kama vilee kwenye kubana mzunguko wa dollar yao kutishia uchumi wa dunia kuanguka kama mbinu ya kutafuta uungwaji mkono wa kidiplomasia kutengeneza washirika wapya juu ya vita vya kuinusuru...
  14. Jicholamwewe

    Natamani kufanya kazi Ulaya na Amerika, naombeni connection

    Habari wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale pia hongereni kwa kupambana. Kutokana na kichwa cha habali hapo juu, Ndugu zanguni, wakuu naombeni yeyote ambaye ana connection au anazijua connection za kupata mishe/ kuzamia nje yani nchi za ULAYA, USA na CANADA naombeni msaada wenu.ili niende...
  15. M

    Kwanini bara la Amerika halijatajwa mahala Popote Kwenye Biblia?

    Ni suala ambalo halina ubishi kuwa kwenye Biblia..hakuna sehemu yeyote inayotaja kitongoji,Kijiji au mji wowote utokao bara la America... Tunaona mabara mengine hasa Asia, Australia,Ulaya na Africa yametajwa tajwa sana tu kwenye Biblia...Hata baadhi ya mitume kama Mtume Paul wametembelea maeneo...
  16. Dr Akili

    Deni la Taifa la Marekani

    Kuwa na madeni ya mikopo ni jambo la kawaida sana kwa maendeleo ya mwananchi au taifa lo lote hapa duniani. Msikilize hapa seneta wa USA anavyoelezea ukubwa wa deni la mikopo ya taifa hilo kubwa ulimwenguni.
  17. Championship

    Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

    Wafuatao ndio wachezaji bora kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio ya timu walizochezea ikiwemo timu za taifa: 1. Messi 2. Pele 3. Maradona 4. Ronaldinho 5. De Stefano 6. De Lima 7. Zico 8. Garrincha 9.Romario 10. Socrates
  18. M

    Shirikisho la Umoja wa kiuchumi wa nchi za Amerika ya Kusini zimemkatalia Zelensky kuhutubia kwenye kikao chao

    Imekuwa ni kawaida ya Rais Zelensky wa Ukraine kuhutubia vikao mbali mbali vya kitaifa na kimataifa katika harakati zake za kutaka kuungwa mkono kuiwekea vikwazo urusi. Jitihada hizo zimeshindwa vibaya kwenye mataifa ya mashariki ya kati, Asia, Amerika ya kusini na Afrika. Alikubaliwa...
  19. bahati93

    Mbona wanajikomba kwa Israel

    Wana dunia, Hapo zamani nilikuwa nashangaa sana jinsi Amerika anavyojikomba kwa taifa la Israel, lakini kadiri muda unavyopita ndivyo nami nazidi kudhania kuna jambo la siri viongozi wa juu wa Amerika wanajua juu ya taifa hili kongwe. Je kitu gani hichoo? Kwa ufupi raia wa Amerika kama watu...
  20. Kijakazi

    Dunia hii chagua upande, aidha Urusi au Amerika, kamwe usiwe katikati, utalipa gharama kubwa siku moja !

    Kama Kiongozi kamwe usiwe katikati, chagua upande ambao utaona unakufaa na uende mazima siyo nusu nusu, nusu nusu itakufaa tu kama kila kitu kiko sawa, lkn kikinuka hauna msaada wowote na wanakushukia kama mwewe. Mfano Erdogan wa Uturuki mwaka 2016 kama asingekuwa rafiki wa kweli wa Putin...
Back
Top Bottom