Hawa Mercedes Benz sio wa kuwachukulia kitoto. Sasa wametoa hii 2nd gen ya AMG GT (GT 63 to be specific) aisee ni kali. Usichanganye na SLS kwa leo.
Tukumbuke AMG GT ni coupe yenye arrangements ya seat 2+2.
Tukijirudisha nyuma mwaka 2014, hawa Benz ndio walianza kutoa 1st Gen za GT ambazo kwa...