#MICHEZO Timu ya Simba Queens imethibitisha kuinasa saini ya kiungo Amina Bilal ambaye msimu uliopita alikuwa akiitumikia JKT Queens na pia aakipiga mnamo timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Twiga Stars.
Msimu uliopita wa Ligi, Amina alifunga mabao manne na kusaidia kupatikana kwa mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.