DR Congo: Rwandan-backed armed group and Congolese army must stop using explosive weapons in densely populated areas - Amnesty International
FOR IMMEDIATE RELEASE
Inaccurate explosive weapons with wide area effects used in densely populated areas more than 150 times in a seven-month period...
Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide). Wakieleza kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa, kosa la genocide linahusisha, mauji, kutenda...
The Tanzanian authorities must urgently halt the mass arrests and arbitrary detention of government critics, Amnesty International said today, as intimidation of members of the political opposition intensifies in the run-up to local government elections in December and the general election in...
Amnesty International Siyo Mahakama ya Tanzania
Siku chache baada ya kukamatwa kwa Wakili Boniface Mwabukusi, Mpaluka Nyagali na Dk Wilbroad Slaa, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, ameonya mashirika ya kimataifa likiwemo Amnesty International, akiyataka kuacha kuingilia mambo ya...
Mamlaka ya Tanzania inapaswa kuwaachilia mara moja na bila masharti Willibrod Slaa, aliyekuwa mbunge na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Boniface Mwabukusi, mwanasheria na mwanaharakati, na Mdude Nyagali, mwanaharakati wa kisiasa, ambao wote walikamatwa kati ya 12 na 13 Agosti kwa kosa la...
amavubi gfsonwin
amnestyamnesty international
bandari
international
king'asti asprin
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mara
mkataba
moja
mpango
uae
wakosoaji
Amnesty International
August 14, 2023
The Tanzanian authorities must immediately and unconditionally release Willibrod Slaa, former parliamentarian and Tanzanian Ambassador to Sweden, Boniface Mwabukusi, a lawyer and activist, and Mdude Nyagali, a political activist, all of whom were arrested...
Shirika la kutetea haki za Binadamu la Amnesty International limelaani mamlaka nchini Tanzania kwa kuwaondoa kwa nguvu watu wa jamii ya kiasili ya Kimasai kutoka katika ardhi ya mababu zao ya Ngorongoro.
Shirika hilo la kutetea haki za binadamu limesema Juni 2022, vikosi vya ulinzi na usalama...
Mwanahabari huyo mashuhuri na Mmiliki wa Radio M, ambayo hurusha mijadala mbalimbali kuhusu Siasa za Algeria, aliwekwa rumande Desemba 29, 2022 kwa kushutumiwa kupokea pesa kinyume cha Sheria kutoka kwa watu na Mashirika "kwa kubadilishana na kutekeleza shughuli ambazo zinaweza kudhuru usalama...
Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa.
Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na...
Wanabodi
Kwa vile Rais Samia, ameisha onyesha nia ya dhati, (political will) ya kuliponya taifa kwa kauli na matendo, mnaonaje pia tukamshauri pia ayaponye na majeraha na makovu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kwanza kwa kutoa an unconditional amnesty kwa wote walioikimbia Zanzibar, wakati...
Shirika la Kimataifa la Amnesty limesema litafunga Ofisi zake zilizopo Hong Kong Nchini China kutokana na Sheria mpya ya Usalama wa Taifa.
Amnesty ambayo imefanya kazi Jijini humo kwa zaidi ya miaka 40 imesema Sheria hiyo inafanya Mashirika ya Haki za Binadamu yaliyo Hong Kong kushindwa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.