Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesema inachunguza vifo vya watu wawili vilivyotokea hivi karibuni, Mkoa wa Kaskazini Pemba.
THBUB imeeleza imepokea kwa masikitiko makubwa vifo vya Nd. Athuman Hamad Athuman na Amour Khamis Salim, waliokuwa wakaazi wa kijiji cha Kiungoni, Wete...