Wakuu,
Kuna hii Video inayosambaa inamuonyesha Padre akimpiga konzi msaidizi wake aliyeshika Mic wakati akifungisha ndoa, jambo lililowaacha wageni midomo wazi.
Tukio hilo limezua mjadala kuhusu hatua ya mchungaji kumwadhibu msaidizi wake hadharani kwa kushindwa kuielekezea vizuri Mic kwa...