Karibu binti na mwana wa Mama Afrika.
Moja ya Vitu ambavyo vinatafutwa na watu wa dini tatu maarufu ya Ukristo, uislamu na uyahudi, ni vibao viwili vya amri kumi za Mungu.
Kwa sababu Maandiko yanadai, vibao hivyo viliwekwa ndani ya sanduku la Agano, vikiwepo fimbo ya harun yenye maua na birika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.