Unapokuwa chawa wa mwanasiasa ni kwamba huyo Boss wako unamfanya kuwa mungu wako na automatically unakuwa umevunja amri ya kwanza ya Mungu wa mbinguni isemayo "Mimi ndimi Bwana Mungu wako usiwe na miungu wengine ila mimi"
Na unapoanza kumuimbia mapambio ya kumsifu na kumuabudu unatenda dhambi...